Katika Makala ya ifahamu China tunaangazia meli kubwa ya kusaidia usambazaji "Haixun 176", chombo cha kisasa kilichojengwa nchini China, kimeanza rasmi kutoa huduma katika Bahari ya Kusini ya China. Meli hii ina teknolojia ya umeme na uwezo mkubwa wa kufanya kazi katika mazingira magumu ya baharini.Tazama
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive