Rais William Ruto ametetea mkataba wa afya aliotia saini na Marekani wiki iliyopita, akisema utabadilisha sekta ya afya nchini katika miaka mitano ijayo. Akizungumza wakati wa mkutano wa serikali ya kitaifa na zile za kaunti katika ikulu ya Nairobi, Rais pia alikanusha uvumi usio na msingi kwamba serikali iliuza data za afya za Wakenya kwa mataifa ya nje, akisema hiyo ni propaganda.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive