Shirika la matibabu na usaidizi wa kisheria kwa waathiriwa wa mateso na unyanyasaji IMLU limeelezea wasiwasi kuhusu kile linachokitaja kuwa ongezeko lisilo la kawaida la ukiukaji wa haki za binadamu nchini. Katika ripoti yake ya mwaka 2025 kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, shirika hilo limesema kwamba taifa hili linaelekea kwenye utawala wa kiimla, unaodhihirika kupitia matumizi ya nguvu kupita kiasi na kupungua kwa uhuru wa kiraia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive