Joshua Mutui Muimi, al maarufu Brigedia Muimi, ambaye tayari anatuhumiwa kwenye kashfa kubwa ya udanganyifu wa ajira katika kikosi cha ulinzi cha Kenya, sasa anakabiliwa na tuhuma mpya. Anadaiwa kumlaghai mwanamke mmoja jijini Nairobi, Brenda Otieno, kiasi cha shilingi 610,000. Inadaiwa kuwa ulaghai huo ulitokea tarehe 31 mwezi Oktoba, eneo la Kilimani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive