Skip to main content
Skip to main content

Marehemu Festus Amimo atazikwa tarehe 19 mwezi huu, nyumbani kwake Awasi.

  • | KBC Video
    4,458 views
    Duration: 2:05
    Marehemu mwanahabari Festus Amimo, ambaye hadi kufariki kwake alikuwa mkuu wa kituo cha redio kinachopeperusha matangazo yake kwa lugha ya Dholuo kinachomilikiwa na shirika la utangazaji nchini, KBC, atazikwa siku ya ijumaa, tarehe 19, nyumbani kwake Awasi, katika kaunti ya Kisumu. Amimo aliaga dunia wikendi iliyopita baada ya kupoteza fahamu. Hafla ya kuchangisha fedha za matayarisho ya mazishi itaandaliwa jumatatu tarehe 15, katika kanisa la All Saints, kuanzia saa kumi na moja jioni. Mchango wako unaweza kutuma kupitia PAYBILL 8004687, na kisha akaunti ni jina lako Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive