- 11,125 viewsDuration: 2:23Madereva na magari yamezuiliwa leo kufuatia oparesheni ya usalama barabarani iliyoendeshwa katika barabara ya kutoka nairobi kuelekea nakuru. Polisi waliweka vizuizi maeneo ya limuru na naivasha ambako wale waliokaidi sheria za barabarani na kukosa stakabadhi muhimu walipelekwa mahakamani na kutozwa faini. Maafisa wakuu wa polisi na wale wa ntsa walikagua magari na kusema shughuli hiyo itaendelea kona zote nchini msimu huu wa sherehe.