Skip to main content
Skip to main content

James Masengeli anayedaiwa kuwadanganya kuwapa watu ajira aachiliwa kwa thamana ya laki-5

  • | KBC Video
    603 views
    Duration: 2:13
    Mwanamume anayedaiwa kuwatapeli Wakenya kwa ahadi za kuwapatia ajira katika Huduma ya taifa ya Polisi ameachiliwa kwa thamana ya pesa taslimu. James Chesimani Masengeli, almaarufu Timothy Khatete Barasa, alifika katika Mahakama ya Milimani akikabiliwa na mashtaka ya kujipatia zaidi ya shilingi milioni mbili na nusu kwa kudanganya watu saba kuwa angewasaidia kupata ajira. Taarifa ya kina ni katika kipengele chetu cha mizani ya haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive