Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Wahudumu wa bodaboda eneo la Mwea wahakikishiwa usalama wao

  • | KBC Video
    133 views
    Duration: 3:18
    Kamanda wa polisi katika kaunti ya Kirinyaga Nelson Taliti amewahakikishia wahudumu wa bodaboda katika eneo la Mwea kuwa asasi za usalama zinaimarisha juhudi za kukabiliana na visa vinavyoongezeka vya wizi wa bodaboda katika eneo hilo. Joan musyoka na taarifa kamili kwenye dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive