Skip to main content
Skip to main content

Mtuhumiwa wa ulaghai Brigedia Muimi aachiliwa kwa dhamana

  • | KBC Video
    113 views
    Duration: 1:18
    Joshua Mutui Muimi, al maarufu Brigedia Muimi, ambaye tayari anatuhumiwa kwenye kashfa kubwa ya udanganyifu wa ajira katika kikosi cha ulinzi cha Kenya, sasa anakabiliwa na tuhuma mpya. Anadaiwa kumlaghai mwanamke mmoja jijini Nairobi, Brenda Otieno, kiasi cha shilingi 610,000. Inadaiwa kuwa ulaghai huo ulitokea tarehe 31 mwezi Oktoba, eneo la Kilimani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive