Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto ahitimisha ziara ya siku nne eneo la Ukambani

  • | KBC Video
    215 views
    Duration: 4:53
    Rais William Ruto amesema kuwa utawala wake umewekeza zaidi ya shilingi bilioni-110 katika miradi ya maendeleo kwenye kaunti za Kitui, Machakos, na Makueni alipohitimisha ziara yake ya siku nne katika eneo hilo. Akizungumza kwenye ikulu ndogo ya Kitui kwenye mkutano na viongozi wa mashinani Ruto alisema kuwa miradi hiyo inayojumuisha barabara, nyumba za bei nafuu na masoko itatatua pakubwa changamoto zinazowakabili wakazi wa eneo la Ukambani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive