Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atetea mkataba wa afya aliotia saini na Marekani

  • | KBC Video
    275 views
    Duration: 1:52
    Rais William Ruto ametetea mkataba wa afya aliotia saini na Marekani wiki iliyopita, akisema utabadilisha sekta ya afya nchini katika miaka mitano ijayo. Akizungumza wakati wa mkutano wa serikali ya kitaifa na zile za kaunti katika ikulu ya Nairobi, Rais pia alikanusha uvumi usio na msingi kwamba serikali iliuza data za afya za Wakenya kwa mataifa ya nje, akisema hiyo ni propaganda. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive