Skip to main content
Skip to main content

Serikali kushirikiana na kanisa katika ustawi wa taifa, Rais Ruto akariri

  • | KBC Video
    932 views
    Duration: 2:59
    Rais William Ruto leo alizuru kaunti ya Kiambu ambako alihudhuria ibada ya Jumapili na kukagua miradi muhimu ya maendeleo inayolenga kuinua uchumi wa eneo hilo na kuboresha hali ya maisha. Rais aliabudu katika kanisa la AIPCA Dayosisi ya Gatundu Kaskazini eneo la Karure, ambako alikariri kujitolea kwa serikali kushirikiana na mashirika ya kidini katika ustawi wa kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive