- 10,129 viewsDuration: 1:46Maafisa wa upelelezi wa mauaji wanakagua simu ya marehemu Cyrus Jirongo huku uchunguzi w akifo chake ukiendelea. Aidha DCI wamemtaka dereva wa basi lililohusika kwenye ajali hiyo kufika kituoni kuhojiwa zaidi. Na kama anavyoarifu fraknlin wallah, haya yanajiri huku rais William Ruto akiitembelea familia ya marehemu Jirongo na kutoa rambirambi zake