Skip to main content
Skip to main content

Maraga akosoa ndoto ya Ruto ya kufanya Kenya taifa tajiri

  • | Citizen TV
    10,119 views
    Duration: 2:27
    Jaji mkuu mstaafu David Maraga amekejeli ndoto ya rais William Ruto ya kulifikisha taifa kwenye kiwango cha uchumi cha mataifa tajiri duniani akisema mpango huo unalenga tu kuvutia udhamini. Maraga amemtaka rais kuzamia suala la kukomesha ufisadi serikalini iwapo anataka Kenya kuafikia maendeleo yanayotizamiwa.