Skip to main content
Skip to main content

Taarifa mseto kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    148 views
    Duration: 2:18
    Serikali inatekeleza mtaala wa CBC na kutoa mafunzo kwa taasisi zote za kiufundi, ili kuhakikisha mtaala huo unawiana na hitaji la soko la ajira. Waziri wa elimu Julius Ogamba amesema wizara ya elimu inatathmini upya mfumo wake wa ufadhili ili kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayeachwa nyuma kutokana na changamoto za kifedha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive