Kulikuwa na furaha na shangwe katika Kituo cha Watoto cha Huruma katika eneo la Ngong, Kaunti ya Kajiado, baada ya kundi la wahisani wakiongozwa na Irine Munted kutoa vyakula na vifaa muhimu ili kuwasaidia watoto walio katika mazingira hatarishi kuelekea sherehe za Krismasi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive