Wakaazi wa Kaunti ya Narok wamehimizwa kushiriki katika zoezi linaloendelea la usajili wa vitambulisho vya kitaifa na kutuma maombi ya stakabadhi hizo ili kuhakikisha hawakosi huduma na fursa muhimu za serikali kama vile ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu, vifaa vya mikopo, mbolea ya ruzuku, mpango wa Inua Jamii, na Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii (SHIF).
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive