Wakazi wa kata ya Sakwa, Kusini Magharibi mwa kaunti ya Siaya wamesema vitendo vya ubakaji vimekuwa tishio linaloongezeka, huku visa vingi vikikosa kuripotiwa kutokana na gharama kubwa za matibabu na nyaraka. Sasa wanaitaka serikali kufutilia mbali ada zote za matibabu na utayarishaji wa fomu ya P3, wakisema kuwa gharama hizo zinaendelea kuwanyima waathiriwa haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News