Skip to main content
Skip to main content

Wanandoa wauawa kwenye ajali ya barabarani Ting’ang’a Kiambu

  • | KBC Video
    6,542 views
    Duration: 2:13
    Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Ting'ang'a katika kaunti ya Kiambu kufuatia ajali ya barabarani iliyosababisha vifo vya wanandoa karibu na mto Kiuu kwenye barabara ya Ndumberi–Githunguri leo. Ajali hiyo ilihusisha bodaboda na gari aina ya Volkswagen. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive