Skip to main content
Skip to main content

Afrika Kusini yafurusha Wakenya 7 waliokamatwa kwa madai ya kuisaidia jamii za wazungu

  • | Citizen TV
    12,745 views
    Duration: 3:09
    Serikali ya afrika kusini imewafurusha wakenya saba waliokamatwa jijini Johannesburg kwa madai ya kufanya kazi ya kuwasaidia wazungu nchini humo kuelekea Marekani. Saba hao wanadaiwa kuingia Afrika Kusini kama watalii ila walipatikana katika kituo cha kuwasaidia wale wanaodaiwa kulengwa kutoka na rangi yao. Idara ya uhamiaji taifa hilo imesema saba hao walikuwa wametuma ombi la kufanya kazi ila ombi lao lilikataliwa katika kile kinaonekana kuwa tofauti kati ya Marekani na Afrika Kusini.