- 16,471 viewsDuration: 3:01Mtazamaji hebu tafakari ukiishi na ugonjwa unaokuzuia kuketi kwa takriban miongo miwili! Kile unachoweza kufanya ni kusimama au kujilaza chini. Hii ni hali halisi ya maisha ya Harun Ngarariga, mwanamume mwenye umri wa miaka 52 huko nyandarua. Harun, alipata majeraha ya uti wa mgongo na kuathirika kiasi cha kutoweza kutembea wala kuketi.