24 Dec 2025 1:45 pm | Citizen TV 143 views Duration: 1:52 Hali ya wasiwasi imetanda kwa siku tatu sasa katika shamba la jamii la Kibiko eneo la Ngong Kaunti ya Kajiado huku baadhi ya wakazi wakihama kwao kutokana na mvutano kuhusu usimamizi wa shamba hilo.