Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Abasuba yaonyesha utamaduni wake kisiwani Rusinga

  • | Citizen TV
    120 views
    Jamii ya Abasusa  inayoishi katika kisiwa cha Rusinga inaomba serikali kusaidia jamii ndogo ndogo humu nchini kuhifadhi tamaduni zao. wakisherekea tamasha ya utamaduni wao awamu ya 14 , jamii hiyo ilipata nafasi kuonyesha mila na tamaduni zao kwa njia ya densi na vyakula.