24 Dec 2025 1:51 pm | Citizen TV 93 views Mahakama ya Ajira jijini Nairobi imebatilisha uamuzi wa kampuni ya KETRACO wa kumsimamisha kazi Mhandisi Antony Wamukota, ikitaja hatua hiyo kuwa kinyume cha Katiba, na inayokiuka haki za msingi za mfanyakazi.