Makasisi wataka serikali kutafuta suluhu ya Mafuriko

  • | Citizen TV
    80 views

    Viongozi wa makanisa mbalimbali nchini wameitaka serikali kutoa suluhu ya kudumu kuhusiana na mafuriko ambayo yamesababisha maafa na kuwafurusha maelfu kutoka makwao.