15 Dec 2025 10:11 am | Citizen TV 6,159 views Duration: 32s Watu 10 wamedhibitishwa kufariki huku 6 zaidi wakiuguza majeraha mabaya baada ya ajali katika eneo la Kodada kaunti ndogo ya Rachuonyo East katika kaunti ya Homa Bay.