- 18,647 viewsDuration: 36s''Hiki chombo kuwe kuna CCM kuwe kuna CHADEMA kuwe kuna chama gani, Hiki chombo kiko tu kwaajili ya kuilinda nchi na kulinda wananchi wa nchi hii'' - Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amelitaka jeshi la nchi hiyo kutojiingiza katika siasa. - Samia alikuwa akizungumza katika mkutano wa 9 wa mkuu wa majeshi CDF na makamanda wakuu uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga. - - - #tanzania #bbcswahili #foryou #chadema #ccm #jwtz #SamiaSuluhuHassan