- 11,817 viewsDuration: 2:31Watu kumi waliofariki kwenye ajali ya jana usiku katika eneo la Kodada walikuwa wamehudhuria harusi kaunti ya Kakamega katika ya kukumbuna na mauti yao. Hata hivyo, sasa kijiji cha Sichirai kaunti ya Kakamega, kulikotoka jamaa na wanakwaya waliofarii kimegeuza sherehe kuwa mazishi. Bwana harusi Kefa Angaya sasa akisimulia jinsi alitangamana na wale walioangamia, ambao walihudhuria harusi yake siku ya Jumapili