Skip to main content
Skip to main content

Mitaa ya makazi Kitengela yageuzwa ngome za walevi

  • | KBC Video
    151 views
    Duration: 2:57
    Wakazi wa mji wa Kitengela na viunga vyake wanalalamikia kile wanachotaja kuwa ongezeko la uuzaji na utumizi wa pombe haramu kwenye maeneo ya makazi. Wakazi hao wanasema biashara isiyodhibitiwa ya pombe haramu ikiwemo Busaa, Chang’aa na vileo ghushi imekithiri kwene mitaa ya Noonkopir na Kyangombe. Wanawataka maafisa wa usalama kuchukua hatua kukomesha biashara hiyo laghai. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive