- 37,450 viewsDuration: 1:55Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepishwa kwa muhula wa pili chini ya ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na ghasia na kupingwa na upinzani. - Hafla ya uapisho wake huo zinafanyika katika uwanja wa kijeshi katika mji mkuu wa Dodoma. Samia alitangazwa mshindi Jumamosi kwa asilimia 98 ya kura, matokeo ambayo yamepingwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA. - - - #uchaguzi2025 #bbcswahili #tanzania #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw