Jeshi la taifa limeanzisha mfumo mpya wa kidijitali wa uajiri katika shughuli inayoendelea ya kuwasajili makurutu wa jeshi kote nchini. Akiongea wakati wa shughuli hiyo katika uwanja wa Ihura, eneo la Murang’a Mashariki, Luteni Kanali Gabriel Kotikot alisema kuwa mfumo huo mpya unawawezesha maafisa kunasa taarifa za waliotuma maombi ya ajira kwa njia ya kielektroniki na kung’amua njama za udanganyifu mara moja.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive