Skip to main content
Skip to main content

Familia zawatafuta wapendwa wao baada ya maandamano Tanzania

  • | BBC Swahili
    138,077 views
    Duration: 12:10
    Raia wa Tanzania wameanza kurejelea shughuli zao za kawaida baada ya serikali kuondoa vikwazo vya usafiri, ikiwemo amri ya kutotoka nje usiku jijini Dar es Salaam. Aidha huduma za intaneti zimerejeshwa, japokuwa bado kuna changamoto za upatikanaji wa mtandao katika baadhi ya maeneo. Lakini hayo yakiendelea, familia nyingi zinawatafuta wapendwa wao ambao hawajaonekana tangu vurugu za siku ya uchaguzi. #DiraYaDunia