MPANGO WA KUSTAAFU KBC
Mpango wa kustaafu wa wafanyakazi wa shirika la utangazaji humu nchini, KBC umekabidhiwa hati miliki za nyumba za shirika hilo zilizoko kwenye mtaa wa Shauri Moyo, jijini Nairobi ambazo awali zilikuwa chini ya jina la aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Mhandisi Philip Okundi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive