Maafisa wakuu wa serikali wameongeza juhudi za kuwarai wakazi wa eneo la Mlima Kenya, kuiunga mkono serikali ya Rais William Ruto, wakiwarai kuunga mkono miradi ya maendeleo inayotekelezwa. Haya yanajiri licha ya lalama zinazoongezeka kuhusu gharama ya juu ya maisha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive