Wahadhiri wa vyuo vikuu wametoa lalama zao kuhusu kucheleweshwa kwa mishahara yao, wakiitaka serikali kutoa shilingi bilioni 7.9 kwa mujibu wa mkataba wa makubalino wa mwaka wa 2017-2021, na pia kuanza mazungumzo kuhusu mkataba mpya wa mwaka wa 2025-2029. Wahadhiri hao kupitia chama chao cha UASU, wamesema kucheleweshwa huko kumekwamisha shughuli katika vyuo vikuu vya umma, na sasa wanatishia kusitisha huduma zao iwapo pesa hizo hazitatolewa mara moja. Huu hapa mseto wa taarifa kutoka kaunti mbalimali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive