Familia moja huko Kakamega ina wasiwasi kufuatia kupatikana kwa mwili wa binti yao mwenye umri wa miaka 21 uliopatikana umelazwa kwenye shimo. Familia yake ambayo imekuwa ikimtafuta tangu siku ya Ijumaa alipotoweka, inadai kuna njama, huku ikitoa wito wa uchunguzi wa haraka kuhusiana na kifo chake. Haya yanajiri huku kukiwa na wasiwasi kuhusiana na hatua ya mmiliki mmoja wa nyumba kushindwa kuziba shimo ambalo mwili wake ulipatikana.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive