Skip to main content
Skip to main content

Murkomen asema serikali imeimarisha usalama kufuatia kukamatwa kwa meli iliyokuwa na dawa za kulevya

  • | KBC Video
    228 views
    Duration: 2:36
    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesema serikali imeimarisha mkakati wa ushirikishi wa kiusalama wa mashirika mbalimbali na uangalizi wa baharini humu nchini. Hii inafuatia kukamatwa kwa meli isiyo na utambuzi iliyokuwa imebeba kilo elfu 1,024 za dawa za kulevya zenye thamani ya shilingi bilioni 8 iliyokamatwa kilomita 630 mashariki mwa Pwani ya Mombasa. Raia sita wa Iran waliokuwa kwenye meli hiyo walikamatwa na watafikishwa mahakamani mara tu uchunguzi wa utangulizi utakapokamilika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive