Skip to main content
Skip to main content

Hisia kali zaendelea kutolewa kuhusu mswada wa Mashirika ya Kidini

  • | KBC Video
    473 views
    Duration: 4:02
    Mzozo unaendelea kuongezeka kuhusu yaliyomo katika Mswada kuhusu Mashirika ya Kidini wa mwaka 2024, huku baadhi ya viongozi wa kidini wakiitaja sheria hiyo inayopendekezwa kuwa ya kuadhibu. Viongozi hao wanaonya kwamba mswada huo ni tishio kwa uhuru wa kuabudu wa kikatiba wa Kenya, wakitaka uondolewe. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive