Skip to main content
Skip to main content

Familia Mwea yaomba usaidizi wa shilingi Milioni-2 ili mwanao anayeugua moyo na figo atibiwe India

  • | KBC Video
    356 views
    Duration: 4:35
    Familia moja katika kijiji cha Gathigiriri eneo la Mwea, kaunti ya Kirinyaga, inaomba usaidizi wa kifedha kuokoa maisha ya mtoto wao mwenye umri wa miaka mitano Brayden Mwangi, ambaye anakabiliwa na maradhi mawili sugu ambayo ni matatizo ya moyo na figo. Wazazi hao wamesema wanahitaji shilingi Milioni mbili ili kumpeleka mwanao kwa matibabu kwa dharura nchini India. Familia moja Mwea yaomba usaidizi wa shilingi Milioni-2 ili mwanao anayeugua moyo na figo atibiwe India. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive