- 281 viewsDuration: 3:43Wakazi wa Njiru katika kaunti ya Nairobi wameipa barabara ya kilomita tatu inayounganisha Njiru na Mwiki jina la Raila Odinga ili kumuenzi kiongozi huyo wa mapinduzi aliyefariki. Na bandari ya Shimoni katika kaunti ya Kwale kwa mara ya kwanza imepokea meli kubwa iliyowabeba watalii kufuatia kuzinduliwa kwake mapema mwaka huu. Taarifa kamili ni kwenye mkusanyiko wa habari za kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive