Skip to main content
Skip to main content

Cheruiyot: Ripoti ground inaonyesha contractor anayejenga barabara Kiambereria Chepsir ni abunuwasi

  • | KBC Video
    331 views
    Duration: 1:17
    Seneta Aaron Cheruiyot: Mheshimiwa rais, singependa kukudanganya. Ripoti ya ground inaonyesha huyo contractor anayejenga barabara pale Kiambereria Chepsir, ni abunuwasi. Tangu 2024 tulipozindua hiyo barabara, amesonga kilomita 6 pekee na hata mahali anajenga imeanza kubomoka. Rais nguruma leo huyu contractor apone au aondoke. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive