Skip to main content
Skip to main content

Baba awauwa wanawe wawili Naivasha

  • | KBC Video
    271 views
    Duration: 1:22
    Wakazi wa Mai Mahiu huko Naivasha, kaunti ya Nakuru wameachwa na majonzi kufuatia kisa cha kusikitisha ambapo baba mmoja anadaiwa kuwaua wanawe wawili kwa kuwapa sumu kabla ya kujitoa uhai.Wakati uo huo katika kaunti ya Machakos,mwanamke mmoja ameuawa kwa panga na mpenzi we alipokuwa akiabiri pikipiki kisa ambapo wakazi waliojawa na ghadhabu walimuua mwanaumme huyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive