Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuwatambua wenye ujuzi wasio na masomo rasmi

  • | KBC Video
    74 views
    Duration: 2:25
    Serikali imekariri kujitolea kwake kutambua ujuzi unaopatikana nje ya mifumo rasmi ya elimu. Katibu wa leba na ukuzaji wa ujuzi, Shadrack Mwadime amesema hatua hiyo inakusudiwa kuwapa uwezo wafanyikazi walio na ujuzi na kuifufua sekta ya jua kali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive