Skip to main content
Skip to main content

Utafiti wabainisha mianya katika huduma za afya

  • | KBC Video
    130 views
    Duration: 3:31
    Uchunguzi wa zaidi ya vituo vya afya 3,600 wa mwaka 2024 umefichua mianya katika utoaji huduma, idadi ndogo ya wafanyakazi na ukosefu wa uwajibikaji vikiwemo visa vya mapuuza vinavyochangia vifo vya kina mama waja wazito ambavyo vingeweza kudhibitiwa. Waziri wa afya Aden Duale amesikitikia kuongezeka kwa vifo vya kina mama waja wazito humu nchini, akitishia kubatilisha leseni za wahudumu wa afya wanaohusika na visa hivyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive