Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Uganda zaafikiana kuimarisha usalama wa watalii

  • | KBC Video
    77 views
    Duration: 3:15
    Wadau katika sekta ya utalii kutoka eneo la Afrika Mashariki wamewahakikishia watalii kuhusu usalama wao, licha ya chaguzi kuu za mwezi huu nchini Tanzania na mwezi Januari mwaka ujao nchini Uganda, huku wakijaribu kukuza utalii wa kanda hii. Wakizungumza pembezoni mwa kongamano la nne la kitalii na maonesho eneo la pwani baina ya Kenya na Uganda huko Malindi kaunti ya Kilifi, wadau hao walitoa wito wa ushirikiano katika sekta hiyo huku mataifa hayo mawili yakishiriki michakato yao ya kidemokrasia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive