Zaidi ya wanachama elfu 3 wa chama cha wanaume wa kanisa katoliki kutoka dayosisi ya Nairobi walikusanyika katika kanisa katoliki la Queen of Apostles Ruaraka, kaunti ya Nairobi, baada ya kukamilika kwa mashindano ya uimbaji baina ya parokia mbalimbali yaliyoanza mwezi Mei. Kutoka kwa makundi 37, Holy Family Utawala waliibuka washindi na kufuatiwa na St Jude Donholm, huku Shrine of Mary Help of Christians wakimaliza wa tatu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive