- 43,208 viewsDuration: 2:54Tume ya uchaguzi Tanzania imemtangaza Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye mshindi wa uchaguzi ulioandaliwa siku ya Jumatano. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Jacobs Mwambegele, alimkabidhi Suluhu cheti cha ushindi na kutangaza kuwa sheria za Tanzania hazimruhusu yeyote kufika mahakamani kupinga matokeo ya urais. Uchaguzi huu ulishuhudia maandamano, rabsha na hata vifo.