- 22,108 viewsDuration: 1:22Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa, Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri alikua atoe ushahidi ila mshtakiwa aliweka mapingamizi kwani shahidi huyo alikuwa haonekani hata na majaji kwenye sanduku maalumu alilokua amewekwa mahakamani hapo Kesi hiyo itapangiwa tarehe ingine na msajili wa mahakama kwani leo ndio ilikua siku ya mwisho ya awamu hii Lissu amerejeshwa rumande ambako amekaa kwa sazaidi ya siku 220 sasa - - #bbcswahili #siasa #chadema #lissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw