- 82,129 viewsDuration: 28:14Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ametoa wito kwa mara nyingine kuachiwa huru bila masharti vigogo wote wa upinzani waliokamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, akiwemo kiongozi wa chama cha upinzani cha CHADEMA Tundu Lissu, na watu wengine wote waliowekwa kizuizini tangu siku ya uchaguzi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw