Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya Tundu Lissu yaahirishwa kwa sababu za kiusalama, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    41,331 views
    Duration: 28:10
    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, (CHADEMA), Tundu Lissu, ambayo ilitarajiwa kuendelea leo Jumatatu, Novemba 10, 2025, imeahirishwa hadi Jumatano ya Novemba 12, ambapo itatajwa tena mahakamani. Awali, upande wa Jamhuri ulipanga kuwasilisha shahidi wa nne katika kesi hiyo, lakini hilo halikuwezekana kutokana na maandamano ya siku tatu yaliyoanza Oktoba 29, 2025. Mashahidi wanaotoka mikoa ya Ruvuma na Mbeya wameshindwa kusafiri kufika jijini kutokana na changamoto hizo za kiusalama. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw